basic steps kiswahili poster swa tea

Hatua za aw ali kuelekea kw enye kilimo endelevu
Hifadhi ya maj i / Vyanzo vya maj i

Utupaj i taka taka

Uchomaji wa taka taka
Acha eneo la akiba kat i ya mto/
ziwa na eneo la kilimo angalau mita 6.

Shughuli za kilimo kando
kando ya mto

Hifadhi ya maj i / vyanzo vya maj i

Shimo la maji taka

Kuosha nguo ndani ya mto

Hifadhi ya maj i / vyanzo vya maj i

M it i isiyo ya asili jirani na vyanzo

vya maji

Upandaji wa miti ya asili na kutosumbua
uoto wa asili jirani na mito / maziwa

Af ya na usalama

Kut umia madawa ya kilimo bila
vifaa vya kinga

Ut umiaji vifaa vya kinga
unapochanganya/ kunyunyiza
madawa ya kilimo

Utupaj i takataka

Vikopo vilivyozagaa hovyo

Vikopo t upu vilivyohifadhiwa kwa
usalama vikisubiri kut upwa


Hifadhi ya udongo

Udongo unahamishwa kupit ia
mmomonyoko

Udhibit i wa mmomonyoko kwenye
miteremko na kingo za mto

Uangalif u kwenye matumizi ya madawa ya kilimo

Jiepushe na madawa hatari yenye
mkanda mwekundu

Punguza matumizi ya madawa salama
ya kilimo (yenye mkanda wa kijani)

Ustawi wa wafanyakazi

Af ya


M adawa ya kilimo kwenye
nyumba/ vyumba vya kulala / kuishi

Tenganisha taka taka kwa kuchimba
mashimo maw ili kwa ajili ya taka taka
zinazooza na taka taka za plast iki

Stoo ndogo za kuhifadhia madawa
kwa njia ya usalama

Wafanyakazi wasio na furaha
shambani

Wafanyakazi wenye furaha
shambani